2010年10月27日水曜日

Ninamiss Africa

Baada ya kurudi Japani, kila siku ninawakumbuka watanzania na maisha ya kule
kwa sababu maisha haya ndiyo ni miwaka 2 ya tanzania ni kubwa sana kwa mimi.
Sasa imeshapita mwaka 1 na nusu, ila siku hizi tena nimeanza kumbuka
kwa sababu sasa ninafanyna kazi kuhusu activiti ya tanzania
naangalia picha zangu na ripoti mbalimbali.

Katika wakati huo, nilikuwa siwezi kufanya kazi nyingi
watu walikwa na mimi walinisaidia kazi na walinifurahisha, walinipa raha.
nikajifunza mwenyewe ila nilipenda kufanya kazi nyingi zaidi na kuwasaidia hata kitu kimoja tu.
Kwa hiyo siku hizi tena nina roho ya kwenda tanzania na kufanya kazi.

Siku moja nitaenda huko tena, na nawasalimia wao, familia ya marafiki zangu.

Namomba mungu awape afya na maisha nzuri.