2010年4月1日木曜日

Kwa kwanza / At first

Shikamooni mabibi na mabwana.
Mambo vipi, rafiki zangu?

Ninaanza kazi hapa MTEC kutoka leo.
Ndiyo leo ni tarehe 1 mwezi wa 4, "siku ya kusema uongo"!!
Ila sasa sitaki kusema uongo, kweli ninaanza kazi npya hapa MTEC :)
Nimefurahi sana kwa kufanya kazi ofici ya MTEC.

Na nimeamua kuanza blog hii kutoka leo.
Naandika kwa kiswahili na kiingeleza.
Katika blog hii, napenda kujitolea kwamba kazi zangu, uhai wangu na kadhalika.
Na napenda kuwasiliana na nyie ndio mnasoma blog hii!
Kama ukidhani kitu flani baada ya kusoma blog hii,
naomba uandike some comments.
Ukae kama upo nyumbani kwako!
Asante sana kwa kuja hapa blog yangu :-)


Hi dear! How are you doing?

I've started to work at MTEC office from today.
Yes, today is April 1st, April Fool!!
But I don't tell a lie. Really I work here!
I'm happy to work at the office :)

And I start to write blog from today.
I write articles in English and Swahili language (spoken in some african countries).
In this blog, I'd like to introduce about my job, my life nad so on.
I want to communicate with you who visit this blog.
So when you have some comments or opinion, please write and tell me.
Feel free like your home!
Thank you very much for coming here :)

1 件のコメント:

  1. Welcome to MTEC!
    We are so pleased to have you with us.
    And you are so cool when you have such aa frequent conversation with someone from Tanzania!!
    I hope your days in MTEC will be filled with wonderful challenges.
    nana

    返信削除